Dodoma District Scouts
Huduma kwa Jamii — Dodoma
Skauti wa Dodoma wameendelea kushiriki katika shughuli za huduma kwa jamii, usafi wa mazingira na kujenga moyo wa kujitolea.
DS
Dodoma ScoutsKaribu kwenye maoni.
Dodoma Scouts
Skauti wa Dodoma wameendelea kushiriki katika shughuli za huduma kwa jamii, usafi wa mazingira na kujenga moyo wa kujitolea.
Mafunzo ya uongozi yanawawezesha vijana kujenga nidhamu, uwajibikaji, mawasiliano na uwezo wa kufanya kazi kwa pamoja.
Kambi hutoa nafasi ya kujifunza huduma ya kwanza, knots, usalama, teamwork na ujuzi wa maisha ya nje.