Dodoma District Scouts Dodoma Scouts
Skauti Dodoma
Skauti Dodoma
Skauti Dodoma
Dodoma District Scouts
Huduma kwa Jamii — Dodoma

Skauti wa Dodoma wameendelea kushiriki katika shughuli za huduma kwa jamii, usafi wa mazingira na kujenga moyo wa kujitolea.

Dodoma District Scouts
Mafunzo ya Uongozi kwa Vijana

Mafunzo ya uongozi yanawawezesha vijana kujenga nidhamu, uwajibikaji, mawasiliano na uwezo wa kufanya kazi kwa pamoja.

Dodoma District Scouts
Kambi ya Skauti na Ujuzi wa Nje

Kambi hutoa nafasi ya kujifunza huduma ya kwanza, knots, usalama, teamwork na ujuzi wa maisha ya nje.

Shiriki